Ijumaa, 18 Agosti 2017

JIPATIE KITABU CHA JINSI YA KUANDAA PRACTICAL ZA KEMIA KWA BEI NAFUU KABISA YA SH 10,000.NI OFA KWAAJILI YAKO

_
JIPATIE KITABU KITAKACHO KUFANYA UWE COMPITENT KTK KUANDAA PRACTICAL ZA KEMIA KWA BEI NAFUU KABISA YA SH10,000/= TU_      👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼                                                                            *ORDINARY LEVEL*                                             *SECONDARY* 
         *EDUCATION*                                                                                         *CHEMISTRY PRACTICAL                                    PREPARATIONS*
               
                   *Preface*
          The ordinary level secondary education chemistry practical preparations have been prepared in response to the deficiencies noted in the teaching and learning of the subjects.
           This guide shows the simple procedures of preparing and conducting practical activities and how to handle practical work in general, hence promoting the teaching and learning chemistry in the country.

                  *Prepared by:-*                                         *Mwl;Jamesmasala                                            076   311  9871*
                                             
                          *CONTENTS:*
*1,0* Reagents to be found on the side shelves
     *1.1*   Basic  chemistry laboratory apparatus                    
     *1.2* The most   common accidents in the laboratory
*2.0* Preparations of dilute solutions
        *2.1* Hydrogen Peroxide ( H202)          *2.3*Hydrochloric acid
        *2.4* Nitric Acid
        *2.5* Acetic acid
        *2.6* Sulphuric Acid
        *2.7* Alcohol (Ethanol)
*3.0*   Preparations of dilute solutions using sold                       chemicals found in school laboratory              
        *3.1* Sodium hydroxide( NaOH)
        *3.2*  Calcium hydroxide(Ca(OH)2 )
        *3.3*  Copper sulphate(CuSO4)
        And all other sold chemicals
*4.0* Preparations of Indicators
         *4.1* Methyl Orange Indicator                             ( M.O)
         *4.2* Phenolphthalein  Indicator                          (P.O.P)
         *4.3* Starch Indicator
         *4.4* Selection of Indicators for acid-base titration
  *5.0* Standardizations of Solutions
  *6.0* Redox titration.                              *7.0* Isometric titration
  *8.0* Rate of Chemical Reactions
  *9.0* Qualitative analysis

       

*2.0* *PREPARATION*  *OF DILUTE SOLUTIONS*            
*2.1* HYDROGEN PEROXIDE ( H2O2 )
         The concentration of concentrated H2O2 to the container is always expressed in two ways;
 o/o v/v H2O2
o/o w/v H2O2                   See the container
*(i)*Using the hydrogen peroxide expressed in o/o v/v H2O2 The following fomula is used to find the molarity of concentrated hydrogen peroxide ( Mc H2O2).                    
 Mc =(o/oPurity x density x 100ml)
                                       
            But its density varies as shown below.............✍🏻    continue..........                                                                                                 *_ILI KUKIPATA KITABU HIKI         *_UTATAKIWA KUCHANGIA ELF5(10,000)TU  KWA NAMBA 076 311 9871  NA UTUME EMAIL /Whatsapp namba YAKO KTK HIYO NAMBA Kisha NITAKUTUMIA  KITABU KWA EMAIL YAKO/Whatsapp namba yako. *  piakwa juu kuna kibox kinachokuelekeza *JISAJILI* ukibonyeza kitakudai uweke email yako ambapo updates zote ninazoziweka huko utakuwa unatumiwa mojakwamoja ktk *email yako* pia usisahau kuacha maoni yako

Jumanne, 15 Agosti 2017

JIPATIE KITABU KITAKACHO KUONGOZA NAMNA RAHISI KABISA YA KUANDAA PRACTICALS ZA CHEMISTRY O-LEVEL KWA BEI NAfuu KABISA YA Tsh 10,000/= TU

KARIBUNI WOTE MNAOPENDA AU WENYE NDOTO ZA KUWA COMPITENT KTK KUANDAA PRACTICALS ZA SOMO LA SAYANSI LA CHEMISTRY O-LEVEL .NI MUONGOZO UTAKAOKUONGOZA HATUA KWA HATUA KUANDAA NA KUSOLVE PRACTICAL QUESTIONS. 
           Unachotakiwa kufanya ni                      kulipia Tshs 10,000/= kwa namba            076 311 9871(JAMES MASALA) 
           Kisha tuma email yako kwa                    namba hiyo hapo juu ili                            nikutumie kwa Email yako/Whatsapp namba yako

  •           Kitabu kitakuwa ktk mfumo wa            pdf na ni softcopy. 
Wahi mapema nakara bado zipo
             Wote mnakaribishwa
                By James MASALA
                    BLOGMASTER
Soma zaidi »

Jumatatu, 7 Agosti 2017

HESLB YATOA MWONGOZO NA VIGEZO VYA UTOAJI MIKOPO KWA MWAKA 2017/2018

HESLB YATOA MWONGOZO NA VIGEZO VYA UTOAJI MIKOPO KWA MWAKA 2017/2018

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inatangaza mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 na itaanza kupokea maombi ya mikopo kuanzia tarehe 6 Agosti 2017 hadi tarehe 4 Septemba, 2017.
Waombaji wote wa mikopo watarajiwa mnasisitizwa kusoma mwongozo wa utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 pamoja na taratibu nyingine za uombaji mkopo kabla ya kujaza fomu za maombi ya mkopo zinazopatikana kwenye mtandao wa https://olas.heslb.go.tz
Kusoma mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 bofya hapa
Kusoma hatua za kufuata kufanya maombi ya mkopo na malipo bofya hapa
Kusoma kuhusu sifa za msingi za mwombaji kwa Kiswahili bofya hapa na kwa Kiingereza bofya hapa

Jumapili, 6 Agosti 2017

Jinsi Mfumo wa Uombaji wa Mkopo wa Elimu ya Juu Utakavyofanya Kazi

Jinsi Mfumo wa Uombaji wa Mkopo wa Elimu ya Juu Utakavyofanya Kazi

Read the Following Instructions and Get to Know abaout the Higher Education Students' Loans Board
Higher Education Students' Loans Board was established by Act No. 9 of 2004, inaugurated by the Hon. Minister for Higher Education, Science and Technology on the 30th March 2005 and became operational in July 2005. The objective of the Board is to assist, on a loan basis, needy students who secure admission in accredited higher learning institutions, but who have no economic power to pay for the costs of their education. The Board is also entrusted with the task of collecting due loans from previous loan beneficiaries in order to have a revolving fund in place so as to make the Board sustainable.
OLAMS
Wakuu na maafisa wa Idara na Vitengo mbalimbali vya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu  wapo katika maandalizi ya mwisho ya kufanyia majaribio mfumo wake ulioboreshwa wa uombaji mikopo kupitia  olas.heslb.go.tz kabla ya kukaribisha maombi ya mikopo ya wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2017/2018.
Kwa mujibu wa Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa TEHAMA Bw. Muze Ninkhambazi ambaye ameongoza mafunzo ya kuwapitisha idara na vitengo hivyo ili kuufahamu na kupata mapendekezo kutoka kwao kwa ajili ya kuboresha mambo muhimu yanayoingia katika mfumo huo kabla ya kukaribisha maombi ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2017/2018.
Bw. Ninkhambazi amesema mabadiliko ya mfumo yanalenga kuufanya uwe wa kisasa zaidi na kuwarahisishia waombaji mikopo jinsi ya kuwasilisha taarifa zao Bodi. Aidha ameongeza kuwa maandalizi hayo yamewezesha kupata mchango mkubwa kutoka wa washiriki.
Miongoni mwa mabadiliko katika OLAMS ni pamoja na jinsi ya kufanya malipo, kuwasilisha viambatanisho muhimu kama cheti cha kuzaliwa, cheti cha kidato cha nne na saini za mwombaji na mdhamini wake.
Bodi ya Mikopo iliingia katika mfumo wa uombaji mikopo kwa njia ya mtandao mwaka wa masomo 2010/2011 na tangu wakati huo mfumo huo umekuwa ukiboreshwa ili kuendana na teknolojia mpya.

COMMENT


Jumatano, 2 Agosti 2017

FAIDA ZA JUISI YA TANGAWIZI

FAIDA 48 ZA JUISI YA TANGAWIZI AMBAZO ULIKUWA HUZIJUWI
1. Huondoa sumu mwilini haraka sana
2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini hata salmonella ndani ya mwili hata juu ya ngozi
3. Kuna viua vijasumu (antibiotics) vya asili viwili kwenye tangawizi
4. Huondoa uvimbe mwilini
5. Huondoa msongamano mapafuni
6. Tangawizi inayo ‘zingibain’ ambayo huua vimelea mbalimbali vya magonjwa na mayai yake
7. Huondoa maumivu ya koo
8. Huua virusi wa homa
9. Huondoa maumivu mbalimbali mwilini
10. Huondoa homa hata homa ya baridi (chills)
11. Hutibu saratani ya tezi dume. Tangawizi huua kimeng’enya ambacho ni chakula cha seli za kansa ya tezi dume kiitwacho ‘5-LO enzymes’ na seli hizo za kansa hufa ndani ya masaa mawili au manne bila hicho kimeng’enya.
12. Tangawizi ina kiinilishe mhimu sana ambacho huzuia kuongezeka kwa seli za kansa ya kongosho kiitwacho kwa kitaalamu kama ‘gingerol”
13. Hutibu kansa zinazoweza kusababishwa na kupata choo kigumu muda mrefu (constipation-r
elated cancer)
14. Ni dawa nzuri kwa kansa ya kwenye damu (leukemia)
15. Ni dawa nzuri dhidi ya kansa ya mapafu (lung cancer)
16. Huzuia kujizalisha kwa bakteria aitwaye ‘Helicobacter pylori’, bakteria huyu ndiye husababisha vidonda vya tumbo mwilini, pia hutibu kiungulia, na kanza mbalimbali za tumbo
17. Ni msaada sana katika kuzuia na kutibu kansa ya titi
18. Hutibu kanza za kwenye kizazi na kanza za kwenye mirija ya uzazi
19. Huongeza msukumo wa damu
20. Husaidia kuzuia shambulio la moyo
21. Huzuia damu kuganda
22. Hushusha kolesto
23. Husafisha damu
24. Husaidia watu wenye kukakamaa kwa mishipa
25. Hutibu shinikizo la juu la damu
26. Husafisha utumbo mpana
27. Hupunguza mishtuko kwenye utumbo mpana na tumbo kuunguruma
28. Huondoa GESI TUMBONI KIRAHISI ZAIDI
29. Husaidia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
30. Dawa nzuri ya kuondoa uchovu
31. Husaidia kuzuia kutapika. Husaidia hata wale wanaosafiri baharini wasipatwe na kichefuchefu
32. Husaidia kuondoa maumivu kutokana na mkao mmoja wa mrefu ama kusimama au kukaa
33. Husaidia uzalishwaji wa juisi vimeng’enya kwa ajili ya kumeng’enya chakula
34. Husaidia kuzuia kuharisha
35. Husaidia mfumo wa upumuaji na kutuliza dalili za pumu
36. Hutibu tatizo la miguu kuwaka moto
37. Hutibu homa ya kichwa
38. Hutibu maumivu ya tumbo wakati wa hedhi
39. Hutibu homa za asubuhi hata kwa mama mjamzito
40. Husaidia kupunguza homa ya baridi yabisi (helps reduce inflammation of arthritis)
41. Huimarisha afya ya figo
42. Husaidia kupunguza uchovu unaotokana na matibabu yaliyopita ya mionzi
43. Ina madini ya potassium ya kutosha
44. Ina madini ya manganese ambayo ni mhimu katika kuuongeza mfumo wa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali, hulinda kuta za moyo, hulinda mishipa ya damu na mishipa ambako mikojo hupita
45. Ina kitu kinaitwa ‘silicon’ ambacho chenyewe kazi yake hasa ni kuongeza afya ya ngozi, nywele, meno na kucha
46. Husaidia umeng’enywaji wa madini ya calcium
47. Pia ina vitamini A, C, E, B-complex, chuma, zinki , magnesium, phosphorus, sodium, calcium, na beta-carotene
48. Hulinda kuta za moyo, hulinda mishipa ya damu na mishipa ambako mikojo hupita

BLEND KAMA UNAVYO TENGENEZA JUICE YA KAWAIDA  KISHA KUNYWA  GLASS MOJA KWA SIKU.

AU UNAWEZA KUJENGA MAZOEA YA KUTAFUNA VIPANDE KADHAA KILA SIKU ASUBUHI KABLA HUJALA KITU

                   Asanteni na endelea kuwa        nami

FAIDA ZA BAADHI YA MATUNDA

FAIDA ZA TANGO
1. Kuzuia kisukari, kuboresha mfumo wa damu na kuondoa kolesteroli mwilini.
2. Chanzo kikubwa cha Vitamin B.
3. Kusaidia kutunza ngozi.
4. Kuongeza maji mwilini.
5. Kukata hangover.
6. Kuimarisha mmeng'enyo wa chakula mwilini.
7. Kuzuia saratani mwilini.
8. Kusaidia kupungua uzito.
9. Kuondoa maumivu na kuboresha viungo vya mwili.
10. Kuondoa harufu mbaya ya kinywa.

FAIDA ZA PAPAI
1. Kuua na kuondoa mazalia ya minyoo mwilini.
2. Kusaidia kutibu vidonda vya tumbo.
3. Kuboresha mmeng’enyo wa chakula.
4. Majani yake huleta ahueni kwa wagonjwa wa saratani.
5. Kupunguza uvimbe (anti-inflammatory).
6. Kuboresha misuli na neva mwilini.
7. Kusaidia kumeng’enya protini.
8. Kuboresha kinga ya mwili.
9. Kuboresha macho.
10. Kuboresha mfumo wa hewa

FAIDA ZA UBUYU
1. Kuzuia uhalibifu na mikunjo ya ngozi.
2. Kusaidia katika kupunguza uzito wa mwili.
3. Kuimarisha moyo.
4. Kusafisha ini na kuondoa sumu.
5. Kiwango kikubwa cha vitamin C.
6. Chanzo cha madini ya Calcium.
7. Kuimarisha kinga ya mwili.
8. Kuimarisha figo.
9. Kuimarisha mifupa na meno.
10. Kuimarisha mfumo wa fahamu

FAIDA ZA EMBE
1. Kupunguza kiwango cha asidi mwilini.
2. Kuboresha mmeng’enyo wa chakula.
3. Kurekebisha kiwango cha insulin.
4. Kuboresha macho.
5. Kusafisha damu.
6. Kuboresha ngozi.
7. Kuzuia saratani.
8. Kuimarisha kinga mwilini.
9. Kutibu joto kiharusi (heat stroke).
10. Kupunguza kiwango cha kolesteroli.

FAIDA ZA NANASI
1. Chanzo kikubwa cha vitamin A.
2. Kusaidia kumeng’enya chakula.
3. Inarekebisha mapigo ya moyo.
4. Kuimarisha mifupa ya mwili.
5. Ina kiwango kidogo cha kalori.
6. Inasaidia kuzuia mafua na homa.
7. Kuimarisha mfumo wa kinga.
8. Chanzo cha vitamin C.
9. Inapunguza uvimbe.
10. Kupunguza spidi ya kuzeeka kwa seli mwilini

FAIDA ZA NJEGERE
1. Kuzuia saratani ya tumbo.
2. Kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu.
3. Chanzo kizuri cha protini.
4. Kuboresha ufanyaji kazi wa ini.
5. Ina kiwango kidogo cha kalori.
6. Kuboresha kinga ya mwili.
7. Inaleta nguvu mwilini.
8. Ina virutubisho vya nyuzi nyuzi.
9. Inazuia kuzeeka haraka.
10. Imejaa virutubishi vingi muhimu mwilini.

FAIDA ZA PILIPILI HOHO
1. Husaidia kupunguza uzito.
2. Kuboresha mzunguko wa damu.
3. Inapunguza kolesteroli mwilini
4. Kuzuia shinikizo la damu.
5. Ina kiwango kidogo cha kalori.
6. Nzuri kwa kuboresha macho.
7. Kuimarisha mfumo wa kinga.
8. Inatibu anemia.
9. Inazua saratani.
10. Kuboresha moyo.

BIASHARA YA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI




Hi; karibuni ktk blog yetu humu tunajifunza maswala Mbalimbali kuhusu kujikwamua kiuchumi .
Naitwa James MASALA
076 311 9871