Badilisha laini yako ya Vodacom kuwa ya Chuo.
Badilisha laini yako ya Vodacom kuwa ya Chuo.
jmasala.blogspot. com
Kama ulikua unaitafuta fursa ya kujisajili kwa huduma ya Uni bundles hujachelewa. Vodacom wamekuletea tena fursa ya kusajili line yako ili uweze kupata ofa ya vifurushi vya mwanachuo.
Jinsi ya kujisajili.
Bofya neno "jisajili Vodacom Uniofa" hapa chini, soma maelekozo vyema kisha jaza taarifa zako zinazohitajika hapo kisha "submit"
Jisajili Vodacom Uniofa.
Maoni 1:
Kwanini isitolewe maelekezo kishwahili jinsi ya kuunga laini ya vodacom ofa??
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.
Jisajili kwenye Chapisha Maoni [Atom]
<< Nyumbani